Revelation of John 11:1

Mashahidi Wawili

1 aNdipo nikapewa mwanzi uliokuwa kama ufito wa kupimia, nikaambiwa, “Nenda ukapime hekalu la Mungu pamoja na madhabahu, nawe uwahesabu wale waabuduo humo.
Copyright information for SwhNEN